SUPER MARIO BALOTELL RASMI LIVERPOOL


Klabu ya Liverpool Imekamilisha usajili wa Mario Balotell toka AC Milan kwa uhamisho wa paundi milion 16.
Ametambulishwa leo na atavaa jezi namba 45 ambayo amekua akiivaa kila mara katika vilabu tofauti.



Mkataba wa miaka mitatu unamrejesha Balotell England baada ya kuondoka akiwa na Man City huku mwenyewe akinukuliwa akisema "Ilikua ni makosa kuondoka England na anajuatia kwa hilo ndo mana narudi England. Soka la England ni zuri nalipenda soka la England"
"Liverpool ni kati ya timu kubwa hapa nafurahi kujiunga nayo"

lakini hivi sasa amerudi akiwa na Liverpool huku matumaini yakiwa ni kuipatia kombe la klabu bingwa Ulaya.

Balotell anakua mchezaji wa 9 kusajiliwa na Liverpool kipindi hiki akiwa ameweka rekodi nzuri Nchini Italia kwa kufunga magoli 30 katika mechi 54.

+++++++++++++++++++

No comments

Powered by Blogger.