JOE COLE ASAINI MIAKA MIWILI ASTON VILLA



Mshambuliaji wa zamani wa Klabu za Chelsea,Liverpool,Lille na West Ham Joe Cole amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuichezea Aston Villa.

Joe Cole anasaini Villa akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na West Ham Kumalizika na kukataa kuongeza mkataba mpya.

Aston Villa wameweka picha ya Cole katika ukurasa wao wa Twitter akiwa amevaa tracksutiza Aston Villa baada ya kukamilisha vipimo vya Afya katika hospitali ya Bodymoor.

Usajili huu wa Villa umekuja siku chache baada ya kumsainisha beki wa Zamani wa Arsenal Phillipe Senderos kwa mkataba wa miaka miwili.

....Imeandaliwa na Edo Daniel Chibo

++++++++++++++++++++++++++

No comments

Powered by Blogger.