"MECHI TATU ZITAKAZOMNG'OA DAVID MOYES" ZINAANZA USIKU HUU


Habari ambazo hazijathibitishwa na uongozi wa klabu ya Manchester United ya England ni kwamba Kocha mkuu wa timu hiyo David Moyes amepewa mechi 3 kuonyesha kama anaweza kuaminiwa na kuachwa kuwa kocha wa Manchester United katika kipindi kingine cha muda mrefu.

Hii imekuja baada ya kipigo cha 3-0 ilichokipata dhidi ya Mahasimu zao wa Ligi kuu klabu ya Liverpool na ndipo uongozi ukaamua kumpa kocha huyo mechi 3 zijazo ikianza na mechi ya usiku huu dhidi ya mabingwa wa Ugiriki klabu ya Olympiacos katika klabu bingwa barani Ulaya kisha watasafiri mpaka Londoni kuivaa West Hama kabla ya kurudi Old tafford kuikaribisha Machester City.

Man United inaingia katika mchezo wa leo ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kuchapwa bao 2-0 katika mchezo wa awali na itatakiwakushinda 3-0 ili kupita,
Wasiwasi uko katika kikosi kitakachoanza leo

WATAKAOANZA
De Gea, Rafael, Jones, Rio Ferdinand, Evra, Valencia, Carick,Giggs,Welbeck, Rooney na van Perse

AKIBA
Lindegaard, Fellaini, Fletcher,Januzaj, Kagawa, Young na Chicharito

No comments

Powered by Blogger.