WAPENDA SOKA DAY JANUARI MOSI - SEHEMU YA KWANZA
Tarehe 1 January kila Mwaka ni siku maalumu kwaajili ya Wapenda Soka na katika kuazimisha siku hiyo, Jumuia ya Wapenda Soka Tulitembelea Kituo cha Watoto Yatima (Mwana Orphanage Centre - Vingunguti Dar Es Salaam) na kutoa zawadi mbali mbali kwa Yatima hao
... Ifuatayo ni sehemu tu ya Picha za matukio siku hiyo
... Ifuatayo ni sehemu tu ya Picha za matukio siku hiyo
![]() |
| Jengo la Watoto Yatima ambalo limerekebishwa tofauti na ilivyokua mwaka jana |
![]() |
| Baadhi ya zawadi tulizowanunulia watoto siku hiyo |
![]() |
| Cake iliyoandaliwa kwaajili ya Siku hiyo |
Allen Kaijage akiwa na mtoto
Allen,Moses,Bebeng na Kita katika pozi
Moses,Edo,Kita & Raphael katika pozi
Wapenda Soka wakiwa na Mama mlezi wa kituo
Raphael,Edo,Pilly,Moses & Bab wakiwa na watoto
Mwandishi wa makala ya The Gunning Machine
Richard Leonce akicheza kiduku
Pilly Maneno akicheza 'ngololo' mbele ya watoto
Edo,Allen,Bebeng & Richard katika pozi
Mtoto akimlisha Pilly Maneno keki
Admin Edo Daniel Chibo akiwasilisha pesa 120,000
kwa mama mlezi kwa jili ya kununua mkaa
Admin, Bebeng Coutinho akiwa na "Zidane"
Itaendelea................................

















No comments