SOUTHAMPTON vs ARSENAL ~ WOTE WAMO KASORO WILSHERE
Vinara wa Ligi kuu England Arsenal wanaingia katika mchezo muhimu usiku huu kuivaa Southampton ambapo kikosi kamili kiko hivi
ARSENAL
Watakaoanza:-
Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscienly, Monreal, Arteta,Flamin, Ozil, Carzola, Gnabry na Giroud.
Akiba:-
Fabianski,Vermalean,Gibbs,Jenkison, Oxlade-Chamberlain, podoski na Bendtner.
SOUTHAMPTON
Watakaoanza:-
Boruc,Chambers,Fonte,Yoshida,Shaw,Cork, Schneiderlin,Davis, Lallana, Rodrigouz na Gallagher.
Akiba:-
K.Davis, Clyne, Wanyama, Ward-Prowse, Guly, Hooiveld na Isgrove
Mechi hii inapigwa katika uwanja wa St. Mary's nyumbani kwa Southampton
+++++++++++++++++++++++++++

No comments