MAN UNITED vs CARDIFF ~ ROONEY BENCHI MATA NDANI


Juan Mata ambaye juzi alivunja rekodi ya usajili katika klabu ya Manchester United amepangwa kuanza mechi ya leo dhidi ya Cardiff City akiichezea timu yake hiyo mpya huku mshambuliaji nguli wa United Wayne Rooney akianzia benchi.

Adnan Januzaj pia ameanzia benchi huku Ashley Young na Ryan Giggs wakianza katika kikosi cha kwanza.

Hiki ndo kikosi kamili:-
David De gea, Rafael,Smalling, John Evans,Evra,Valencia,Jones,Giggs,Young,Mata na Robin Van Perse

Akiba
Lindegaard,Cleverley,Fletcher,Januzaj,Kagawa,Hernandez na Rooney

CARDIFF CITY
Kikosi:-
Caulker,Hudson,John, Mcnaughton,Medel,Whitts,Noone,Mutch,Bellamy,Campbell.

Akiba:-
Lewis,Turner, Kim, Eikrem, Gunnarsson,Daehli, Berget
++++++++++++++++++++++++++++++++++++

No comments

Powered by Blogger.