MCHEZAJI GANI WA MAN CITY ATAFUNGA GOLI LA 100 LEO?
Timu inayopewa nafasi kubwa kuibuka na ubingwa katika msimu huu wa ligi kuu nchini England, Manchester City leo itaingia katika dimba lake la Nyumbani la Etihad kuwaalika Cardiff City katika Mwendelezo wa Ligi kuu Nchini England.
Manchester City inaingia uwanjani ikiwa na rekodi nzuri ya asilimia 100 kuibuka na ushindi katika uwanja wake wa numbani kwani mpaka sasa hawajapoteza mchezo wowote katika ligi wakicheza katika uwanja wa Nyumbani.
Pia City imeshafunga Jumla ya magoli 99 katika Michezo yote msimu huu huku wakiingia wakiwa na uhakika wa kupata goli la 100 kwani mara ya mwisho kwao kutoka uwanjani bila goli ilikua katika uwanja wa Mwangaza walipofungwa 1-0 na Sunderland lakini mechi karibia zote man City wameibuka na ushindi tena nyingi zikiwa ushindi wa magoli mengi.
Katika magoli 99 ambayo Man City wamefunga msimu huu hawa ndio wafungaji:-
Taja Jina la mchezaji huyo upate Vocha ya Muda wa Maongezi.

- Alvaro Negred - 21
- Sergio Aguero - 20
- Edin Dzeko - 15
- Yaya Toure - 13
- Samir Nasri - 5
- David Silva - 5
- Jesus Navas - 4

No comments