THE TRUE RED DEVILS
MAN UNITED NA MAFANIKIO YA 1967/68 EUROPEAN CHAMPIONS CLUBS' CUP(UEFA Champions League)
Mara baada ya ajali ya Munich 1958 united ilianza kujiimarisha taratibu. Ikiwa na waliosalia katika ajali Matt Busby aliyekua meneja, Bobby Chalton na Foulkes katika njia ya kujiimarisha ilifanikiwa kutwaa kombe la F.A mwaka 1963 na lile la Championship mwaka1965.
Ikiwa imepita miaka 10 baada ya ajali ya Munich, United ikawa timu ya kwanza toka Uingereza kutwaa European Champions Clubs' Cup ambalo kwa sasa linajulikana kama Uefa Champions League kwa kuifunga Benfica ya Ureno katika fainali iliyochezwa uwanja wa Wembley 29/05/1968
Timu zifuatazo zilishiriki michuano hiyo katika mzunguko wa kwanza:
Anderrlecht,
Ajax,
Besktas,
Benfica,
Branscheweig,
Boter Plovidiv,
Celtic,
Chemntz,
Djurgården,
Dinamo Tirana,
Dynamo Kyiv,
Dundalk,
Górnik Zabre,
Glentoran,
Hvidovre,
Hibernians,
Juventus,
Jeunesse
Esch,
KuPs,
Man United,
Olympiakos,
Olympiacos,
Rapid Wien,
Rapid
Bucuresti,
Sarajevo,
Real Madrid,
Sparta Praha,
Skeid,
Vasas,
Valur na
St. Étienne.
Man united 4-0 Hibernians
wafungaji wakiwa Denis Law 2, David Sadler 2
27/09/1967
Hibernians 0-0 Man United
United ikafanikiwa kusonga mbele kwa 4-0
Sarajevo 0-0 Man united
29/11/1967
Man united 2-1 Sarajevo
Magoli ya United yakifungwa na John Aston na George Best
United ikafanikiwa kuingia robo fainali kwa ushindi wa jumla wa 2-1
Timu zilizofanikiwa kutinga hatua ya robo fainali:
Benfica, Branschweig, Górnik Zabre, Juventus, Man United, Real Madrid,
Sparta Praha na Vasas
Man United 2-0 Gornik Zabre
Magoli ya United yakifungwa na Brian Kid na lingine la kujifunga la Gornik Zabre
13/03/1968
Gornik Zabre 1-0 Man United
United ikatinga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa jumla wa 2-1
Benfica, Juventus na Real Madrid nazo zilitinga nusu fainali
Man United 1-0 Real Madrid
Goli pekee la United likifungwa na George Best
15/05/1968
Real Madrid 3-3 Man united
Magoli ya Real Madrid yalifungwa na Pirri, Gento, Amancio na kwa upande wa United yakifungwa na Zoco(Og), George Best na Bill Foulkes.
United ikafanikiwa kutinga fainali dhidi ya Benfica toka Ureno
Man United 4-1 Benfica
Katika fainali hiyo iliyochezwa uwanja wa Wembley, United ilimkosa Denis Law aliekua ameumia ila wakali kama George Best na Bob Charlton walikuwepo.
Benfica ilikua na Gwiji la kireno Eusebio, Torres, Jose Augusto ambao walidhibitiwa wasilete madhara.
Alikua ni Bobby Charlton aliyeifungia Man United goli la kuongoza lakini dakika 10 kabla ya mchezo kuisha Benfica walisawazisha kwa goli lililofungwa na Jaime Graca, Benfica walikosa nafasi ya wazi ya kufunga goli la pili katika dakika ya mwisho baada ya Eusebio kubaki na kipa lakini juhudi za kipa wa united Alex Stepney zilimfanya ashindwe kufunga!
Ulhiitajika muda wa nyongeza ili kumpata mshindi, katika muda huo wa nyongeza United ilifanikiwa kupata magoli matatu kupitia kwa George Best, Kidd na Bobby Charlton na kufanikiwa kupata ushindi wa goli 4-1 na kutwaa kombe hilo.
Manchester United ikawa bingwa wa kwanza European Champions Clubs' Cup (UEFA Champions League) kutoka Uingereza!
Katika mchezo huo wa fainali pale Wembley Vikosi vilikua hivi:
Kikosi kamili cha United Msimu huo kiliundwa na:
Alex Stepney
Tony Dunne
Francis Burns
Paddy Crerand
Bill Foulkes
Nobby Stiles
George Best
David Sadler
Bobby Charton
Denis Law
Brian Kidd
John Fitzpatrick
John Aston
Shay Brennan
Jimmy Ryan
David Herd
Matt Busby(meneja)
Louis Edwards(mwenyekiti)
.....................Imeandaliwa na Abel Chimwejo wa Wapenda (Kandanda) katika Facebook.

RAUNDI YA KWANZA20/09/1967
Man united 4-0 Hibernians
wafungaji wakiwa Denis Law 2, David Sadler 2
27/09/1967
Hibernians 0-0 Man United
United ikafanikiwa kusonga mbele kwa 4-0
Timu zilizofanikiwa kusonga mbele Raundi ya kwanza:Anderlecht, Benfica, Branrchweig, Dynamo Kyiv, Gornik Zabre, Hvidovre, Juventus, Man United, Rapid Bucuresti, Rapid Wien, Real Madrid, Sarajevo, Sparta Praha, St Étienne, Valur na Vasas
RAUND YA PILI:15/11/1967
Sarajevo 0-0 Man united
29/11/1967
Man united 2-1 Sarajevo
Magoli ya United yakifungwa na John Aston na George Best
United ikafanikiwa kuingia robo fainali kwa ushindi wa jumla wa 2-1
Timu zilizofanikiwa kutinga hatua ya robo fainali:
Benfica, Branschweig, Górnik Zabre, Juventus, Man United, Real Madrid,
Sparta Praha na Vasas
ROBO FAINALI:28/02/1968
Man United 2-0 Gornik Zabre
Magoli ya United yakifungwa na Brian Kid na lingine la kujifunga la Gornik Zabre
13/03/1968
Gornik Zabre 1-0 Man United
United ikatinga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa jumla wa 2-1
Benfica, Juventus na Real Madrid nazo zilitinga nusu fainali
NUSU FAINALI:24/04/1968
Man United 1-0 Real Madrid
Goli pekee la United likifungwa na George Best
15/05/1968
Real Madrid 3-3 Man united
Magoli ya Real Madrid yalifungwa na Pirri, Gento, Amancio na kwa upande wa United yakifungwa na Zoco(Og), George Best na Bill Foulkes.
United ikafanikiwa kutinga fainali dhidi ya Benfica toka Ureno
FAINAL UWANJA WA WEMBLEY:29/05/1968
Man United 4-1 Benfica
Katika fainali hiyo iliyochezwa uwanja wa Wembley, United ilimkosa Denis Law aliekua ameumia ila wakali kama George Best na Bob Charlton walikuwepo.
Benfica ilikua na Gwiji la kireno Eusebio, Torres, Jose Augusto ambao walidhibitiwa wasilete madhara.
Alikua ni Bobby Charlton aliyeifungia Man United goli la kuongoza lakini dakika 10 kabla ya mchezo kuisha Benfica walisawazisha kwa goli lililofungwa na Jaime Graca, Benfica walikosa nafasi ya wazi ya kufunga goli la pili katika dakika ya mwisho baada ya Eusebio kubaki na kipa lakini juhudi za kipa wa united Alex Stepney zilimfanya ashindwe kufunga!
Ulhiitajika muda wa nyongeza ili kumpata mshindi, katika muda huo wa nyongeza United ilifanikiwa kupata magoli matatu kupitia kwa George Best, Kidd na Bobby Charlton na kufanikiwa kupata ushindi wa goli 4-1 na kutwaa kombe hilo.
Manchester United ikawa bingwa wa kwanza European Champions Clubs' Cup (UEFA Champions League) kutoka Uingereza!
Katika mchezo huo wa fainali pale Wembley Vikosi vilikua hivi:
Man United:
Stepney, Brennan, Foulkes, Crerand, Dunne, Charton(capt),Stiles, Best, Kidd, Sadler na Aston
BENFICA:
Henrique, Adolfo, Humberto, Jacinto, Cruz, Graca, Coluna(capt), Jose Augusto, Torres, Eusebio, Simoes
Kikosi kamili cha United Msimu huo kiliundwa na:
Alex Stepney
Tony Dunne
Francis Burns
Paddy Crerand
Bill Foulkes
Nobby Stiles
George Best
David Sadler
Bobby Charton
Denis Law
Brian Kidd
John Fitzpatrick
John Aston
Shay Brennan
Jimmy Ryan
David Herd
Matt Busby(meneja)
Louis Edwards(mwenyekiti)
.....................Imeandaliwa na Abel Chimwejo wa Wapenda (Kandanda) katika Facebook.
GGMU
ReplyDelete