MIWANI PANA YA EDO
............ AC MILAN VS BARCELONA .............
Kocha wa AC Milan Massimiliano Allegri amenukuliwa akisema
Barcelona kwa upande wao wanatarajia kuchezesha kikosi kisicho na tofauti na kile cha msimu uliopita huku wakiwa na kocha mpya sasaon Tito Vilanova huku wakimtegemea mchezaji bora mara 4 mfululizo duniani Lionel Messi.
AC MILAN
Milan wataingia uwanjani bila Mario Balotelli hivyo kumfanya Stephan El Shaarawy aungane na Pazzini huku wakichezeshwa na Prince Boateng na Kinda la Senegal Niang.
Antonio Nocerino na Mathieu Flamini wataikosa pia mechi hii kutokana na majeruhi wakati Mfaransa Philipe Mexes anatarajia kurudi katika kikosi cha Milan
KIKOSI CHA AC MILAN KINAWEZA KUA HIVI
AC Milan (4-3-3): Abbiati; Abate, Mexes, Zapata, Constant; Montolivo, Niang, Ambrosini; Boateng, Pazzini, El Shaarawy
BARCELONA
Xavi anaweza kuanza katika kiungo baada ya kupona majeruhi yaliyokua yakimsumbua huku David Villa akiendelea kukosa nafasi katika kikosi kwani yuko majeruhi. Carlos Puyol akitarajia kuanza akikamilisha ukuta pamoja na Pique na kiungo kitaongozwa na Busquests na Fabrigas .
KIKOSI CHA BARCELONA KINAWEZA KUA HIVI
Barcelona (4-3-3): Valdés; Alves, Piqué, Puyol, Alba; Busquets, Xavi, Fàbregas; Pedro, Messi, Iniesta
FACTS:
......Utabiri wa Miwani Pana ya Edo kwa mechi hii ni Milani kuibuka na Ushindi wa 2-1
NOTE: Mechi myimgine usiku huu ni
Galatasaray vs Schalke 04: Mechi zote zikipigwa saa 4:45 saa za Afrika Mashariki
USIKU WA RAHA |
NI DHAMBI KUBWA SANA KWA MPENDA SOKA KULALA WAKATI MECHI HII IKICHEZWA
Kocha wa AC Milan Massimiliano Allegri amenukuliwa akisema
"Kila mtu anajua sheria haibadiliki katika mpira hivyo basi tutaanza mechi kila timu ikiwa sawa yani 0-0. Itakua usiku mzuri ambapo timu yenye mafanikio zaidi duniani itakapoialika timu bora kabisa kwa sasa duniani. Tutajitoa kwa uwezo wetu wote kuwakabili Barca tukijiamini, tukiwa na nguvu na ari ya ushindi"Barcelona inasafiri kwenda Milan ikiwa na rekodi nzuri dhidi ya wababe hao wa ligi ya Italia. Timu hizo zilikutana mara 4 msimu uliopita na Milan kushindwa kabisa kuibuka na ushindi mara zote hizo. Japokua huu ni mwaka mwingine Milan ikiwa na kikosi kilichopikwa upya kikiwa na matumaini ya kuwaangusha wababe hao wa La Liga. Kikosi kinachotaka kukipiku kile cha msimu uliopita kilichokua na nyota kibao kama Thiago Silva na Zlatan Ibrahimovic, Mark Van Bommel na Alessandro Nesta. Wanaweza wakafankiwa ila pia wanaweza wakaambulia aibu vijana hawa.
Barcelona kwa upande wao wanatarajia kuchezesha kikosi kisicho na tofauti na kile cha msimu uliopita huku wakiwa na kocha mpya sasaon Tito Vilanova huku wakimtegemea mchezaji bora mara 4 mfululizo duniani Lionel Messi.
HALI YA TIMU ZOTE KABLA YA PAMBANO LA LEO
AC MILAN
Milan wataingia uwanjani bila Mario Balotelli hivyo kumfanya Stephan El Shaarawy aungane na Pazzini huku wakichezeshwa na Prince Boateng na Kinda la Senegal Niang.
Antonio Nocerino na Mathieu Flamini wataikosa pia mechi hii kutokana na majeruhi wakati Mfaransa Philipe Mexes anatarajia kurudi katika kikosi cha Milan
KIKOSI CHA AC MILAN KINAWEZA KUA HIVI
AC Milan (4-3-3): Abbiati; Abate, Mexes, Zapata, Constant; Montolivo, Niang, Ambrosini; Boateng, Pazzini, El Shaarawy
BARCELONA
Xavi anaweza kuanza katika kiungo baada ya kupona majeruhi yaliyokua yakimsumbua huku David Villa akiendelea kukosa nafasi katika kikosi kwani yuko majeruhi. Carlos Puyol akitarajia kuanza akikamilisha ukuta pamoja na Pique na kiungo kitaongozwa na Busquests na Fabrigas .
KIKOSI CHA BARCELONA KINAWEZA KUA HIVI
Barcelona (4-3-3): Valdés; Alves, Piqué, Puyol, Alba; Busquets, Xavi, Fàbregas; Pedro, Messi, Iniesta
FACTS:
- Barcelona hawajafungwa katika michezo 7 iliyopita dhidi ya AC Milan, wakishinda 4 na kudroo 3.
- Mara ya mwisho AC Milan kuifunga Barcelona ilikua Oktoba 2004 katika uwanja wa San Siro katika hatua za makundi za ligi ya mabingwa Ulaya ushindi wa 1-0.
- Katika timu 16 zilizoingia hatua hii katika UCL ni AC Milan pekee ambayo haijashinda katika katika uwanja wake wa nyumbani: Mara ya mwisho AC Milan kushinda katika Ligi ya Mabingwa katika uwanja wake wa nyumbani ilikua msimu uliopita Tarehe 15 February 2012 wakiifunga Arsenal kwa jumla ya magoli 4-0.
- Lionel Messi amefunga magoli 56 katika michezo 74 katika ligi ya Mabingwa: Raul pekee ndo mchezaji aliyeweza kufunga magoli mengi katika historia ya michuano hiyo akifunga magoli 71 katika mechi 142.
......Utabiri wa Miwani Pana ya Edo kwa mechi hii ni Milani kuibuka na Ushindi wa 2-1
NOTE: Mechi myimgine usiku huu ni
Galatasaray vs Schalke 04: Mechi zote zikipigwa saa 4:45 saa za Afrika Mashariki
No comments