JE NI KWELI REKODI YA MESSI INABEBWA NA KUZIFUNGA TIMU NDOGO TU?
Ile Hadithi ya Nani Mkali kati ya Messi na Ronaldo sasa imehamia hatua nyingine ya wadau wa Ronaldo kuja na data zinazomwonyesha kama Ronaldo ni mkali kumzidi Messi kwa kuangalia ukubwa wa mechi alizofunga tangu kuanza kwa mwaka huu.
Jana Dunia ilishuhudia rekodi ikivunjwa baada ya miaka 40 na mchezaji wa Barcelona na mshindi mara tatu wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia wa FIFA Lionel Messi
>>>> David Samuel Marosi wa Kundi la Wapenda Soka( Kandanda) katika mtandao wa Facebook amepost picha hii
Jana Dunia ilishuhudia rekodi ikivunjwa baada ya miaka 40 na mchezaji wa Barcelona na mshindi mara tatu wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia wa FIFA Lionel Messi
>>>> David Samuel Marosi wa Kundi la Wapenda Soka( Kandanda) katika mtandao wa Facebook amepost picha hii
Haya wewe mpenda soka unalipi la kuzungumza hapa?
inasikitisha kuona blog inaleta unazi, unaamni mwaka huu messi hajaifunga real madrid?? una amini mwaka huu messi hajaifunga ac milan?? na kama kazifunga timu dhaifu kwa nini ronaldo naye asizifunge?? UNAHARIBU BLOGU NA KUONEKANA WANAOPOST HAWAJUI WALA KUFATILIA SOKA, NIA AIBU KUBWA KUWEKA MAGOLI ALIYOFUNGA MESSI MSIMU HUU BILA KUYAWEKA ALIYOWAFUNGA NA MADRID!!! MMEBOA JAMANI KA USHABIKI HUU SASA UMEPITILIZA, HEBU WEKENI NA UKWELI JAPO KIDOGO, HAPO UNGEWEKA MAGLI ALIYOWAFUNGA NA MADRID WATU KIDOGO WANGEKUELEWA!!! NAPITA, ILA SIRUDI TENA HUKU!! AL
ReplyDeletetunashukuru kaka kwa mchango wako lakini hayo yalikua maoni ya Wapenda Ronaldo kwao wao wanaona ni points so ukibisha we njoo tu na points na amini katika kile ulichokiona
ReplyDeletehalafu group ni la wapenda soka wote hata wewe unakaribishwa ukiwa na mchango wako au kama una post yoyote ubayodhani inafaa kukaa huku
ilete tu katika wapendasoka@gmail.com
Ni swali, eleweni sio kukurupuka na kuanza kuropoka!
ReplyDelete