AMEANDIKA: Kevin Samuel Mweyo (WSG)
Siku kama ya leo 19-11-1993,katika mji mdogo wa Cádiz huko Spain,alizaliwa kijana na wazazi wake wakampa jina "Jesús",....jina lake kamili ni "Jesús Joaquín Fernández Sáez de la Torre" Al-Maarufu "SUSO"..jezi namba 30 mgongoni...The Rising Star toka ile Academy maarufu ya La Merseyside iliyotoa vipaji hadimu katika enzi hii kama Andre Wisdom,Reheem Sterling,Adam Morgan,Jack Flanagan,Paul Ince,Danny Pacheco,na wengine wengi.................We Wish You "HAPPY 19th BITHDAY JESUS" May You Live Long...and may that that keep on shining...Pure Class,Pure Latin Footballer....Y.N.W.A
![]() |
Suso |
No comments