Abel Chimwejo Ndio ni mchezaji mzuri sana niliewahi kumwona ila kwa hili sijakubali! Kwa namba kavunja record ya Pele na anaelekea kuvunja nyingine! Pele 53games 75goals Messi 61games 78goals Muller 60games 85goals Bado kuwafikia!
82 now for Messi
ReplyDelete