TETESI: YANGA WAMALIZANA NA MBENIN AZIBE PENGO LA NGOMA.
Taarifa zilizotufikia kutoka ndani ya klabu ya Yanga zinasema kuwa klabu hiyo tayari imemalizana na hambuliaji Marcellin Koukpo kutoka klabu ya Buffles du Burgou ya Benin.
Yanga hawajaweka wazi usajili huo lakini inaelezwa kuwa Koukpo amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia miamba hao wa soka nchini na anaweza kujiunga na timu hiyo muda wowote huko Nakuru nchini Kenya
Koukpo aliwasili nchini juzi usiku na kupokewa na uongozi wa Yanga

No comments