KUELEKEA KOMBE LA DUNIA, TUNISIA WATANGAZA 23 WA MWISHO
Wawakilishi wa Afrika katika fainali za kombe la dunia mwezi huu huko Urusi, Tunisia leo wametangaza kikosi chao cha mwisho cha wachezaji 23 kitakachoelekea huko kutoka katika kile cha wachezaji 29 kilichotangazwa awali.
Kikosi hicho kipo kama ifuatavyo;
Magolikipa: Farouk Ben Mustapha (Al Shabab, Saudi Arabia), Moez Hassen (Chateauroux, France), Aymen Mathlouthi (Al Baten, Saudi Arabia)
Walinzi: Rami Bedoui (Etoile du Sahel), Yohan Benalouane (Leicester City, England), Syam Ben Youssef (Kasimpasa, Turkey), Dylan Bronn (Gent, Belgium), Oussama Haddadi (Dijon, France), Ali Maaloul (Al Ahly, Egypt), Yassine Meriah (CS Sfaxien), Hamdi Nagguez (Zamalek, Egypt)
Viungo: Anice Badri (Esperance), Mohamed Amine Ben Amor (Al Ahli Riyadh, Saudi Arabia), Ghaylene Chaalali (Esperance), Ahmed Khalil (Club Africain), Saifeddine Khaoui (Troyes, France), Ferjani Sassi (Al Nasr, Saudi Arabia), Ellyes Skhiri (Montpellier, France), Naim Sliti (Dijon, France), Bassem Srarfi (Nice, France)
Washambuliaji: Fakhreddine Ben Youssef (Al Ittifaq, Saudi Arabia), Saber Khalifa (Club Africain), Wahbi Khazri (Rennes, France)
No comments