YANGA KUTUA NAIROBI NA JESHI LA WATU 20, AJIBU, TSHISHIMBI NDANI.
Yanga wameweka hadharani kikosi chao kitakachokwea pipa leo kuelekea Nairobi nchini Kenya katika michuano maalum ya Sport Pesa.
Juma Abdul ambaye amekua akihusishwa kujiunga na Azam FC baada ya kumaliz mkataba na Yanga hayumo katika kikosi hicho pamoja na Obrey Chirwa.
Pappy Kabamba Tshishimbi ambaye amekua akihusishwa na Simba amejumuishwa katika kikosi hicho pamoja na Ibrahim Ajibu ambaye alikosekana katika kikosi hicho katika michezo ya mwisho ya ligi kuu.
Kikosi hicho cha Yanga kipo kama ifuatavyo
1. Youthe Rostand
2. Ramadhani Kabwili
3. Hassan Kessy
4. Baruan Akilimali
5. Hajji Mwinyi
6. Pius Buswita
7.Abdallah Shaibu
8. Pato Ngonyani
9. Ibrahim Ajib
10 .Maka Edward
11. Yohana Mkomola
12. Thabani Kamusoko
13. Matheo Anthony
14. Amis Tambwe
15. Juma Mahadhi
16.Said Juma
17 . Said Mussa
18. Papy Tshishimbi
19.Yussuf Mhilu
20 . Raphael Daudi

No comments