KIKOSI KAMILI CHA SIMBA KINACHOENDA NAIROBI

Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Wekundu wa msimbazi Simba wako njiani kuelekea Airport tayari kwa safari ya kuelekea nchini Nairobi kushiriki michuano maalum ya vilabu vi
vinavyodhaminiwa  na kampuni ya Sport Pesa hapa Afrika Mashariki


Vilabu vya Tanzania hasa Simba vimeonesha kuyapa umuhimu mkubwa mashindano hayo msimu huu zaidi ya msimu uliopita baada ya kubeba silaha zake zote huku ikiwakosa wachezaji wake wote ambao raia wa Ghana kwa ruhusa maalum

Tumekuekea hapa kikosi kamili cha Simba kinachoenda Nairobi

Makipa
Said Mohamed, Ally Salim na Aishi Manula


Mabeki
Paul Bukaba, Erasto Nyoni, Ally Shomari,Yusuf Mlipili, Shomari Kapombe na  Mohamed Hussein

Viungo
Rashid Juma, Said Hamis,Haruna Niyonzima, Mzamiru Yassin, Mohamed Ibrahim, na Jonas Mkude

Washambuliaji
Moses Kitandu, Marcel Kaheza, Shiza Kichuya

No comments

Powered by Blogger.