REAL MADRID v LIVERPOOL: TAZAMA HIGHLIGHT YA MECHI HAPA
Fainali ya klabu bingwa Barani Uaya imemalizika kuashiria kumalizika kwa msimu wa mpira wa miguu kwa ngazi ya klabu Barani Ulaya.
Magoli mawili toka kwa Bale na Moja Kutoka Kwa Benzema yanaipa Ushindi Real Madrid na kuwafanya kuchukua Ubingwa Wa Ulaya ngazi ya Klabu kwa mara ya tatu mfululizo.
Tumekuwekea highlight ya mechi ya leo
No comments