YANGA YAKABIDHIWA WA ETHIOPIA KOMBE LA SHIRIKISHO

Wawakilishi pekee wa Tanzania waliobaki katika michuano ya kimataifa Yanga wamepangwa kucheza dhidi ya Wolaita Dicha ya Ethiopia.

Yanga imetupwa katika michuano hii ya shirikisho baada ya kutolewa na Township Rollers kwenye klabu bingwa barani Afrika.

Yanga itaanzia mchezo wake nyumbani kisha marudiano kupigwa ugenini ndani  ya siku 10.

RATIBA KAMILI YA KOMBE LA SHIRIKISHO

Zanaco vs Raja Casablanca
Vita club vs Cm lamacha Congo
St George vs Carra Brazzaville
El Hilal vs Akwa united
Super Sports vs Gor mahia
El bayt vs Songo Mozambique
Usmer Alger vs Cotton United
Enyimba vs Vits South
Ghana Vs Bouser Malagasy
Yanga vs Wolaita Dicha

No comments

Powered by Blogger.