ÖZIL AVUNJA REKODI YA CANTONA
Kiungo wa Arsenal, Mesut Mustafa Özil amezidi kudhihirisha ubora wake leo baada ya kuandikisha jina lake kwenye vitabu vya historia ya ligi kuu ya Uingereza kwa kupiga assist yake ya 50 katika ligi hiyo.
Nyota huyo wa kimataifa wa Ujerumani ambaye amekua mpishi wa kutumainiwa wa Arsenal tangu alipojiunga nao akitokea Real Madrid ya Hispania leo ameishuhudia assist yake ya 50 baada ya kupiga mpira wa adhabu uliotua kwenye kichwa cha Shkodran Mustafi na kuiandikia Arsenal bao la kwanza dhidi ya Watford.
Kwa assist hiyo sasa Özil anavunja rekodi iliyowekwa na Eric Cantona ambaye alifikisha assist 50 baàda ya kucheza michezo 143 huku Özil yeye akifanya hivyo kwa kutumia michezo 141. Hivyo Özil anakua mchezaji aliyefikisha assist 50 kwa haraka kuliko mchezaji yeyote wa ligi hiyo

No comments