MARCO REUS AJIPIGA PINGU BVB.
Nyota wa Borussia Dortmund Marco Reus amesaini mkataba mpya na klabu hiyo utakaomweka hapo hadi June 2023.
wapendasoka.com inaweza kuthibitisha kwamba vilabu mbalimbali vya Uingereza vilikua vikiinyemelea saini ya mshambuliaji huyo katika usajili ujao wa majira ya joto.
Manchester United, Arsenal na Tottenham ni kati ya vilabu ambavyo vimeripotiwa kumfuatilia Reus amerejea hivi karibuni kutoka kwenye majeraha lakini hatimaye fundi huyo mwenye umri wa miaka 28 ameamua kuukata mzizi wa fitina.
"Nimevaa jezi hii tangu mwaka 2012, ninafurahi na kujivuna kwamba nitaendelea kuivaa"
Alisema Reus.
Reus ameongeza kwamba kuichezea BVB ilikua ni ndoto yake tangu akiwa mtoto

No comments