YANGA USO KWA USO NA WANALIZOMBE ASFC
Mabingwa wa ligi kuu Vodacom Tanzania bara Yanga imepangwa kucheza na timu ya Majimaji kutoka mkoani Songea katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup).
Droo hiyo ya raundi ya nne iliyopangwa leo mchana imeonyesha kuwa, Yanga itacheza ugenini mchezoo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Majimaji.
Yanga inatolea macho michuano hiyo kwakua itawapa tiketi ya kushiriki michuano ya kombe la Shirikisho Afrika kama itafanikiwa kutwaa ubingwa.
Azam FC yenyewe imepangwa kucheza na timu ya Manispaa ya Kinondoni 'KMC' katika hatua hiyo ambayo mechi zake zitapigwa kuanzia Februari 22-25.
Ratiba kamili ya hatua ya 16 bora ya FA
Majimaji vs Yanga
Stand United vs Dodoma FC
JKT Tanzania vs Ndanda FC
Tanzania Prisons vs Kiluvya
KMC vs Azam
Polisi Tanzania vs Singida United
Mbao FC vs Njombe Mji
Buseresere vs Mtibwa Sugar

No comments