HII HAPA RATIBA YA YOTE LIGI DARAJA LA KWANZA

Ligi daraja la kwanza (FDL) mechi zitakamilika leo kutoka kundi B timu mbili itapanda daraja na nyingine nne zitajulikana Jumamosi na Jumapili.

Mechi zote zitaanza saa kumi kamiili jioni

Ratiba kamili ya michezo yote ya FDL

Leo Ijumaa Februari 2

Mawenzi Market vs Coastal Union
Uwanja : Jamhuri Morogoro

Mufindi United vs Polisi Tanzania
Uwanja: Wambi Iringa

Mbeya kwanza vs Polisi Dar
Uwanja: Sokoine Mbeya

Jkt Mlale vs KMC
Uwanja: Majimaji Songea

Kesho Jumamosi Februari 3

Kiluvya United vs African Lyon
Uwanja: Filbert Bayi Pwani

Friends Rangers vs Mvuvumwa
Uwanja: Azam Complex

JKT Tanzania vs Mshikamano
Uwanja: JKT Mbweni

Ashanti United vs Mgambo JKT
Uwanja: Uhuru Dar es Salaam

Jumapili Februari 4

Alliance Schools vs JKT Oljoro
Uwanja: Nyamagana Mwanza

Biashara United vs Transit Camp
Uwanja: Karume Musoma

Rhino Rangers vs Pamba
Uwanja: Ali Hassan Mwinyi Tabora

Dodoma FC vs Toto Africans
Uwanja: Jamhuri Dodoma


No comments

Powered by Blogger.