EPL JANA : LIVERPOOL NA ARSENAL HOI, MAN CITY YAZIDI KUWEKA REKODI, MATOKEO YOTE RAUNDI YA 17 HAYA HAPA

Mzunguko wa 17 wa ligi kuu nchini England ilikamilishwa jana Usiku kwa mechi 7 kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini England.

Tumekuekea hapa matokeo yote ya mechi zilizopigwa Jumanne na Jumatano katika ligi hiyo
Newcastle United 0-1 Everton
Liverpool 0 – 0 West Bromwich Albion
Manchester United 1-0 AFC Bournemouth
Tottenham Hotspur 2-0 Brighton & Hove Albion
West Ham United 0-0 Arsenal
Huddersfield Town 1-3 Chelsea
Crystal Palace 2-1 Watford
Burnley  1-0 Stoke City
Swansea City 0-4 Manchester City
Southampton 1-4  Leicester City

1 comment:

Powered by Blogger.