DAVID MOYES ATAJWA KUMRITHI BILIC WEST HAM
Kocha wa zamani wa Everton, Manchester United na Valencia David Moyes anatajwa katika nafasi ya kumrithi kocha wa sasa wa West Ham United Slaven Bilic.
Maamuzi ya kumtimua kocha Slaven Bilic yatafikiwa Leo Jumapili na kuna kila akili kocha huyo ambaye amewahi kuichezea pia West Ham baada ya mfululizo as matokeo mabovu Ikiwa ni pamoja na kichapo cha bao 4-1 walichokipata jana dhidi ya Liverpool.
Taarifa kutoka jijini London zinaeleza kwamba Moyes atapewa mkataba wa kuifundisha West Ham mpaka mwisho wa msimu huu.

 
 
 
No comments