YANGA YAPANGA FULL MZIKI KUIKABILI NJOMBE MJI LEO

Mabingwa wa Soka Tanzania bara Yanga wako tayari Mjini Njombe kwaajili ya pambano la ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Njombe Mji kwenye uwanja wa Saba Saba mjini Njombe.

Kocha mkuu wa Yanga George Lwandamina amemwanzisha kiungo aliyezua gumzo mitaani Tshishimbi ambaye atatakiwa kuunganisha safu ya ushambuliaji itakayokua na wakali kama Donald Ngoma na Ibrahim Ajibu.

Hiki hapa kikosi kamili cha Yanga

1-Youthe Rostand
2-Juma Abdul
3-Gadiel Michael
4- Andrew Vicent Dante
5-Kelvin Yondani
6-Pappy Tshishimbi
7-Juma mahadhi
8- Thabani Kamusoko
9-Donald Ngoma
10- Ibrahim Ajibu
11- Emmanuel Martine

AKIBA
- Ramadhani Kabwili
- Ramadhani Kessy
- Mwinyi Haji
- Nadir Haroub Cannavaro
- Rafael Daudi
- Yusuph Mhilu
-Obrey Chirwa

No comments

Powered by Blogger.