MATOKEO NA WAFUNGAJI LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA
Cristiano Ronaldo ameendelea kuweka rekodi mpya ya ufungaji katika ligi ya mabingwa barani Ulaya akifunga mabao mawili katika ushindi wa bao 3-1 walioupata mabingwa watetezi Real Madrid dhidi ya Borussia Dortmund.
Ronaldo ambaye amefikisha mabao 14 katika mechi 7 zilizopita ikiwa ni wastani wa bao 2 kwa kila mechi katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.
Harry Kane naye ameendelea kuuwasha moto baada ya kufunga mabao matatu yani Hat-Trick wakati Tottenham wakishinda bao 3-0 ugenini dhidi ya APOEL Nicosia ya Cyprus.
Tumekuwekea matokeo na wafungaji katika mechi zote 8 za leo
GROUP E
Sevilla 3-0 NK Maribor
- Wissam Ben Yedder (27',38,83')
Spartak Moscow 1-1 Liverpool
- Fernando (23')
- Philipe Coutinho (31')
GROUP F
Manchester City 2-0 Shaktar Donetsk
- Kevin De Bryune (18')
-Raheem Sterling (90')
Napoli 3-1 Fayernoord
- Lorenzo Insigne (7')
- Dries Mertens (49')
- Jose Maria Calejon (70')
- Sofyan Amrabat (90')
GROUP G
Besiktas 2-0 RB Leipizg
- Ryan Babel (11')
- Anderson Talisca (43')
Monaco 0-3 FC Porto
- Vicent Aboubakar (31',69')
- Miguel Layun (89')
GROUP H
Apoel Nikosia 0-3 Tottenham
- Harry Kane (39,62,67)
Borussia Dortmund 1-3 Real Madrid
- Gareth Bale (18')
- Cristiano Ronaldo (50',79')
- Pierre-Emeniķe Aubemeyang (54')
No comments