HABARI KUU KATIKA KURASA ZA MICHEZO KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMANNE SEPTEMBA 26

Karibu tuangalie kwa pamoja habari kuu zilizoandikwa katika magazeti ya michezo na kurasa za michezo za magazeti mengine siku ya leo hapa Tanzania.
Kwa habari zaidi za soka la Nyumbani,Picha zenye ubora kutoka katika viwanja mbalimbali usisite kutufatilia hapa pamoja na kwenye mitandao ya Jamii Facebook,Twitter na Instagram tafuta Wapenda Soka Tanzania.

















1 comment:

  1. Simba na Yanga sio kama ni mbaya hizi timu zinakamiwa sana na timu ndogo
    niliangalia siku Yanga alipocheza na Njombe town kipindi cha pili wale jamaa walipiga mpira mwingi sana same to Mbao V Simba ile spirit ya mbao wangecheza vile mechi zote nadhani ubingwa ungewahusu

    ReplyDelete

Powered by Blogger.