CHELSEA WALIZWA NA MAN CITY NYUMBANI
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England klabu ya Chelsea imeambulia kichapo cha bao 1-0 katika mechi yake ya ligi kuu ya England dhidi ya Manchester City.
Shujaa katika mchezo huo alikua kiungo wa zamani wa Chelsea Kevin De Bryune akifunga bao pekee katika mchezo huo goli la dakika ya 67.
Kwa matokeo hayo Man City sasa wanaendelea kuwa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo wakifikisha pointi 19 sawa na Man United huku City wakiwa na faida ya magoli ya kufunga na kufungwa.
Hii ni mechi ya pili Chelsea wanapoteza msimu huu wakiwa nyumbani baada ya
No comments