ANGALIA HIGHLIGHTS ZA MECHI ZA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Mechi 8 zilichezwa jana kukamilisha hatua ya pili katika mechi za hatua ya makundi kwenye ligi ya mabingwa barani Ulaya huku jumla ya magoli 25 yakifungwa katika viwanja mbalimbali barani Humo.
Ulikosa Kuangalia Mechi Za Jana za Klabu bingwa barani Ulaya? Basi tumekuwekea highlights za mechi zote hapa
ATLETICO MADRID 1 - 2 CHELSEA
PSG 3 - 0 BAYERN MUNICH
CSKA MOSCOW 1 - 4 MAN UTD
SPORTING LISBON 0 - 1 BARCELONA
JUVENTUS 2 - 0 OLYMPIAKOS
ANDERLECHT 0 - 3 CELTIC
QARABAK 1 - 2 AS ROMA
FC BASEL 5 - 0 BENFICA
No comments