MSIMU MPYA LIGI KUU YA ENGLAND KUANZA LEO USIKU KWENYE DIMBA LA EMIRATES

Image result for arsenal vs leicester 2017
Arsenal na Leicester City watafungua msimu mpya wa ligi kuu ya England leo kwa kucheza mechi ya kwanza ya Ligi hiyo inayotazwa zaidi duniani mchezo utakaochezwa kwenye uwanja wa Emirates jijini London.

Mechi ya leo itakua ndiyo ufunguzi wa pazia la Ligi kuu ya England msimu wa mwaka 2017/2018 ikiwa ni mara ya kwanza kwa ligi hiyo kutimua vumbi katika mechi ya ufunguzi siku ya Ijumaa.

Ushindani mkali unatarajiwa kwenye ligi kuu msimu huu baada ya timu zote kujiimarisha vilivyo huku zikijitahidi kusajili wachezaji bora kwaajili ya kufanya vyema msimu huu.

Mechi ya leo baina ya Arsenal na Leicester City inatarajiwa kuanza majira ya saa 4 kasorobo usiku 

No comments

Powered by Blogger.