HAIJAWAHI KUTOKEA TANZANIA: SPORTPESA YAJA NA BONGE LA DILI KWA WATEJA WAO, SASA KILA MTU KUNUFAIKA
Kampuni ya SportPesa imezindua rasmi promosheni ya mtambulishe rafiki
ijulikanayo kama Rafiki Bonus ambapo mtambulishaji atajipatia TZS 2000/- kama
bonus ya utambulishaji huo.
Mteja wa SportPesa ambaye tayari amekwisha jisajili na kuanza kucheza,
anachotakiwa kufanya ni kumtambulisha rafiki yake ambaye akijisajili na akianza
kucheza, mteja aliyemtambulisha atapata hiyo bonus ya TZS 2000/-.
“Kampuni imekuja na Bonus ya Rafiki ikiwa kama njia ya kurudisha fadhila
kwa wateja wetu. Tunawafurahia wateja wetu, na tunajua kuwa wamekuwa
wakiwafundisha rafiki zao namna ya kubashiri na SportPesa. Hivyo basi, tumeona
ni vyema na sisi tuwawekee mazingira ya wao kunufaika kwa uaminifu wao na
Kampuni. Bonus ya Rafiki inamuwezesha mteja kupata elfu mbili (TZS 2000/-) kwa
kila mteja anayemtambulisha katika jukwaa la kubashiri na SportPesa.” Pavel
Slavkov, Mkurugenzi Mkuu SportPesa.
Ili mteja aweze kufuzu kushiriki katika bonasi ya Rafiki; mteja
anatakiwa awe amejisajili na awe mtumiaji wa SportPesa kubashiri. Pia, mteja
mpya ambaye anatambulishwa na rafiki yake, anatakiwa kutuma neno KUBALI kisha
kuandika namba ya simu ya mtu aliyemkaribisha katika jukwaa la kubashiri la
SportPesa, mfano KUBALI 0700XXXXXX. Mteja mpya atatakiwa kuweka ubashiri
angalau mara moja katika michezo ya Jackpot, kwenye mchanganyiko wowote wa Multi Bet bila kujali aina ya mchezo, au kuweka Single Bet kwenye mechi yoyote ya mpira wa miguu yenye soko la
njia tatu (1,X,2) - yaani ushindi wa nyumbani (1), suluhu (x) au ushindi wa
ugenini (2) ambapo odds za soko atalochagua ziwe zaidi ya 1.60.
Mteja anaweza kubashiri kwa njia ya ujumbe (SMS)
au kwa njia ya tovuti (www.sportpesa.co.tz) ambapo atafuata hatua zilizo elekezwa ili kushiriki kwenye bonus hiyo.
Uzinduzi wa Rafiki Bonus ni sehemu moja wapo ya Kampuni ya SportPesa
katika kuwaburudisha wateja wake ambao, kwa kipindi kirefu sasa tangu Kampuni
kuanza shughuli zake nchini, wamejisajili kikamilifu na wengi wao wamesaidia
rafiki, ndugu na jamaa kujiunga na kubashiri kutumia majukwaa ya Sportpesa.
SportPesa inajivunia kuwa na kiasi kikubwa cha
pesa ya Jackpot kwa sasa cha fedha za Kitanzania milioni mia mbili na tatu (TZS
203,391,920), odds zinazovutia na huduma kwa wateja yenye daraja la kimataifa
iliyopo hewani masaa 24 kuwafikia wateja waliopo na wateja wapya wanaopenda
kujua zaidi kuhusu huduma za kampuni. Wateja wanashauriwa kupiga simu za huduma kwa wateja 0764115588,
0658115588 na 0692115588 kwa taarifa zaidi kuhusu bonasi ya rafiki.
No comments