TOTTENHAM HOTSPUR YATAMBULISHA JEZI MPYA
Klabu ya Tottenham Hotspur imetambulisha jezi zake mpya kwa ajili ya msimu ujao wa ligi ikiwa na logo ya Nike kama wadhamini wao wapya katika utengenezaji wa Jezi.
Mkataba wa paundi milioni 30 kwa Mwaka umeingiwa kati ya Tottenham na Nike kwaajili ya jezi hizo ambazo kifuani zinaendelea kubeba nembo ya kampuni ya bima ya AIA
Hii inakuja wiki mbili baada ya maduka nchini Marekani kuweka wazi jezi hizo (leaked) na ni sawa kabisa na hizi ambazo zimewekwa wazi hivi sasa
Na huu hapa ni muonekano mpya wa jezi hizo

Jezi za ugenini |
Jezi za Nyumbani |
No comments