MESSI AFUNGA NDOA MASTAA KIBAO WAHUDHURIA

The pair walked out to greet the cameras after marrying at the City Center Rosario complex
Nahodha wa Barcelona na Mshambuliaji wa Kimataifa wa Argentina Lionel Messi amefunga ndoa jana na Mpenzi wake wa siku nyingi Antonella Roccuzzo mjini Rozario Argentina.

Xavi Hernandez,Cesc Fabregas,Luiz Suarez, Sergio Busquet,Samuel Etoo,Carles Puyol, Lavezzi,Sergio Aguero na wageni wengine zaidi ya 250 waliomsindikiza Messi jana katika sherehe hiyo


No comments

Powered by Blogger.