KUMEKUCHA OKWI ATUA KAMBINI AANZA MAZOEZI RASMI

Mshambuliaji kipenzi cha wanasimba, Mganda Emmanuel Okwi tayari amewasili nchini Afrika Kusini katika jiji la Johannesburg na kujiunga na kambi ya timu hiyo.

Okwi aliwasili Kambini hapo jana, na leo asubuhi amejumuika na kikosi hicho kwenye mazoezi makali yanayoendelea chini ya kocha Joseph Omog

No comments

Powered by Blogger.