HIZI HAPA JEZI ZA NYUMBANI ZA MANCHESTER UNITED KWAAJILI YA MSIMU UJAO 2017/2018
Mabingwa wa Eouropa League Manchester United wameweka hadharani Jezi zao mpya za nyumbani kwaajili ya msimu ujao wa ligi ikiwa ni mwaka wa tatu sasa tangu walipoingia mkataba na kampuni ya Adidas.
Jezi za Safari hii ni tofauti kidogo na za msimu uliopita zikiwa na kola pamoja na baadhi ya mistari ambayo haikuwepo kwenye jezi zilizopita na zitaanza kuvaliwa na manchester United Tarehe 15 mwezi huu watakapocheza mchezo wa kwanza wa kujipima nguvu dhidi ya LA Galaxy ya Marekani.
No comments