Baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mechi ya Fainali ya kombe la Mabara, Timu ya taifa ya Ujerumani ilitua katika uwanja wa ndege wa Frankfurt wakiwa na ndege ya shirika la Lufthansa wakiwa wamevalia fulana nyeupe zenye maandishi kifuani "CHAMPIONS"
No comments