AC MILAN WASAJILI WACHEZAJI 10 NDANI YA WIKI 6

Leonardo Bonucci (beki kutoka Juventus) na Lucas Biglia (kiungo kutoka Lazio) wanakua wachezaji wa 9 na wa 10 kusajiliwa na AC Milan kwa kipindi cha wiki 6 zilizopita.

AC milan pia wako "actively" kwenye "serious" discussion kumsajili Renato Sanches kutoka Bayern munich kwa mkopo amethibitisha mkurugenzi mkuu wa Bayern munich.

Hawajaishia wapo kwenye maongezi mazito kusajili mmoja kati ya Alessandro Belloti kutoka Torino, Morata kutoka Real madrid au Aubamayeng kutoka Dortmund.

Fabio Borini (Sunderland) Franck Kessie (Atalanta) Mateo Musacchio  (Villareal) Hakan Calhanoglu (Leverkusen) Ricardo Rodriguez (Wolfsburg) Leonardo Bonucci (Juventus) Lucas Biglia (Lazio) Andrea Conti (Atalanta) Antonio Donnarumma (Astres Tripoli)

No comments

Powered by Blogger.