SPURS YAMFUNGIA KAZI BEKI WA DORTMUND


Makamu bingwa wa ligi kuu ya England msimu uliopita klabu ya Tottenham Hotspur imepeleka ombi  la kumsajili beki wa kimataifa Wa Ujerumani na klabu ya Borussia Dortmund Matthias Ginter.

Beki huyo mwenye miaka 23 hivi  sasa anaweza kuihama Dortmund huku klabu hiyo ikihitaji paundi milioni 18 kumwacha huku mkataba wake kukiwa umebaki miaka mwili.

Msimu uliopita Mchezaji huyo alitaka kustaafu Soka baada ya shambulizi la kigaidi katika bus la Timu hiyo ambapo beki Marc Batra aliumia vibaya.
 

No comments

Powered by Blogger.