KUMBE URENO WEUPE TU KATIKA PENATI, WATUPWA NJE KOMBE LA MABARA
Nusu fainali ya kwanza ya kombe la mabara imepigwa jana usiku na kushuhudia Chile wakiiondoa Ureno kwa mikwaju ya penati 3-0.
Mpaka dakika 120 zinakamilika hakuna timu iliyoona lango la mwenzake, Nahodha wa Chile na Golikipa wa klabu ya Manchester city ya Uingereza alikuwa shujaa wa mchezo huo baada ya kupangu penati tatu za Ureno.
Ricardo Quaresma, Joao Moutinho na Luis Nani walikosa penati zote huku Chile wakipata penati zote tatu za mwanzo.
Nusu fainali ya Pili inapigwa leo usiku kati ya Ujerumani na Mexico na Mshindi atacheza na Chile katika fainali itakayopigwa siku ya Jumapili.

No comments