KAPOMBE ASAINI MIAKA MIWILI KUITUMIKIA SIMBA

Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club wameendelea kuimarisha kikosi chao kwa Msimu wa 2017-2018 baada ya kumrudisha nyumbani beki Shomari kapombe alieondoka miaka miwili iliyopita

Shomari kapombe  amesaini rasmi Kandarasi ya miaka miwili jana kuitumikia klabu ya Simba yenye makao makuu yake kkoo

Kapombe anakuwa mchezaji watano kusaini Simba baada ya Aishi Manula kutoka Azam fc, Jamal Mwambeleko akitokea MbaoYussuf Mlipili Toto Africans  na John Bocco kutoka Azam ambae bado hajatambulishwa.

Simba imedhamiria kuimraisha kikosi chake baada ya kurudi katika michuano ya kimataifa msimu ujao

No comments

Powered by Blogger.