HUDDERSFIELD YAUNGANA NA NEWCASTLE NA BRIGHTON KUCHEZA LIGI KUU ENGLAND MSIMU UJAO

The Huddersfield Town players rejoice on the pitch with the Championship play-off trophy after winning their war of attrition
Moja ya michezo inayosadikiwa kuwa na pesa nyingi kwenye soka ni mchezo wa fainali ya kuwania timu ipi itapanda daraja kwenye ligi kuu ya England na jana mchezo huo ulichezwa baina ya Huddersfield dhidi ya Reading katika dimba la Wembley.


Mchezo huo ulimalizika kwa mikwaju ya penati na Huddersfield kuibuka na ushindi wa penati 4-3 na kuwa timu ya tatu kupata nafasi ya kucheza ligi kuu msimu ujao wakiungana na Newcastle na Brighton & Hove ambazo tayari zilishapata nafasi za kucheza EPL msimu ujao.

Hii ni mara ya kwanza tangu mwaka 1972 timu hiyo inarejea katika ligi kuu ya England

No comments

Powered by Blogger.