YANGA KUCHANGIANA KUPITIA MITANDAO
Timu ya Yanga kwa kushirikiana na kampuni ya Selecom Tanzania imezindua akaunti maalum kwa ajili ya kuchangia timu hiyo katika masuala mbalimbali ya kimaendeleo.
Hatua hiyo imekuja miezi kadhaa baada ya klabu hiyo kukumbwa na ukata mkubwa hali iliyotokana na Mwenyekiti wao Yusuf Manji ambaye ndiye muwezashaji mkubwa katika masuala ya pesa kupata matatizo hiyo uongozi ukaamua kutumia njia hiyo kupata mapato ya kusaidia kuendesha timu.
Akizungumza mbele ya Wana Habari katika makao makuu ya klabu hiyo Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa alisema ukaunti hiyo itawafanya mashabiki kutuma pesa kwa ajili ya masuala mbalimbali ya kimaendeleo.
"Tumezindua akaunti maalum kwa ajili ya wapenzi na wanachama wetu kuchangia timu ili kufanikisha baadhi ya vitu kwa timu hiyo.
Nae mwakilishi wa Selecom Galus Runyeta alisema wanachama hao watachangia kupitia mitandao ya M pesa, Tigo pesa na Airtel money kwa namba 150334.
" Kupitia mitandao tajwa hapo juu mwanachama atachangia kiasi chocolate kwenda namba 150334 kwa ajili ya maendeleo ya klabu yao ya Yanga," alisema Galus.

No comments