BEKI LIVERPOOL AONGEZA MKATABA
Baada ya mazungumzo ya wiki takribani 6 hatimaye mkataba umefikiwa kati ya Liverpool na mchezaji wake anayecheza nafasi ya mlinzi wa kati Dejan Lovren ameongeza mkataba wa kuichezea klabu hiyo.
Lovern beki wa kimataifa wa Croatia amekubali kuendelea kuitumiki Liverpool akisaini mkataba mpya baada ya ule wa awali aliousaini mwaka 2014 kubakiza miaka miwili kumalizika na kwa mkataba huu mpya Lovren atabaki Liverpool mpaka mwaka 2021 kukiwa na kipengele cha kuongeza kwa miezi 12 atakua akilipwa paundi 100,000 kwa wiki.
No comments