SIMBA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA FA, MAVUGO AFANYA YAKE TENA
![]() |
| Picha toka Maktaba |
Mavugo alifunga bao pekee katika mechi dhidi ya Madini FC ya Arusha mchezo uliochezwa jioni ya leo jijini Arusha.
Licha ya Madini FC ambayo inashiriki ligi daraja la kwanza kuonekana kuwa njema muda wote wa mchezo Lakini uzoefu ndiyo uliowamaliza baada ya Mafugo kufunga bao hilo kwa kichwa na kumhadaa kipa wa Madini.
Sasa Simba inaungana na Mbao FC kutinga hatua hii ya nusu fainali huku mechi mbili zikiwa hazijachezwa ambapo Yanga itaumana na Prisons wakati Azam wao watacheza dhidi ya Ndanda FC.

No comments