POGBA AMZAWADIA BABA YAKE CAKE KWENYE BIRTHDAY YAKE LEO

Anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa leo baba yake Paul Pogba mzee Fassou Antoine ambaye ametimiza miaka 79.

Mzee huyu raia wa Wa Guinnea alihamia Ufaransa akiwa na miaka 30 na kati ya wanae watatu wa kiume Paul Pogba pekee ndiye aliyechagua kuitumikia Ufaransa kama timu yake ya taifa lakini nduguze Mathias na Florentin wao wamebaki Guinea.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Paul Pogba amepost picha akiwa na baba yake alipompelekea Cake huku akiweka maandishi yanayoambatana na picha hiyo "
'Happy birthday dear Dad, I feel blessed to be your son #pogdaddy #fighter #pogbance.'

No comments

Powered by Blogger.