CHELSEA YAIZIDI KETE MAN UNITED KUMSAJILI BAKAYOKO WA MONACO.
Vinara wa ligi kuu nchini England klabu ya Chelsea imeonekana kuizidi Ujanja Manchester United katika kumsajili kiungo wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea Monaco Tiemoue Bakayoko.
Tayari dau la paundi milioni 35 limetajwa kukubaliwa na Monaco toka Chelsea kumsajili kijana huyu mwenye miaka 22 mwenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya kiungo.
Sababu kubwa inayoonekana kumpeleka Chelsea Bakayoko ni pamoja na kuwa na uhakika wa kucheza katika ligi ya mabingwa Msimu ujao ambapo Chelsea ina uhakika mkubwa wa kushiriki michuano hiyo kuliko ilivyo kwa Man United.
Bado haijathibitishwa na klabu zote mbili kuhusu usajili wa mchezaji huyo lakini yasemekana mkataba wa miaka mitano unamhusu Bakayoko pale darajani

Welcome ila age kama sio ya kugushi atasaidia sana
ReplyDelete