BAADA YA KUWAADHIBU BOTSWANA TAIFA STARS WAKO TENA UWANJANI LEO DHIDI YA BURUNDI
Timu ya Taifa ya Tanzania maarufu kama Taifa Stars leo itajitupa tena katika dimba la Taifa Jijini Dar es Salaam kucheza dhidi ya Burundi.
Mchezo huu ni wa pili kwa Taifa Stars chini ya kocha Mzalendo Jackson Mayanja baada ya mchezo wa awali Jumamosi iliyopita ambapo Taifa Stars iliweza kuibuka na uahindi wa bao 2-0 katika mchezo ambao Nahodha Mbwana Samata alifunga mabao yote mawili.
Burundi wao watakua wakimtegemea sana Mshambuliaji wao Anayeichezea Simba SC Laudit Mavugo ili kuweza kuibuka na ushindi katika mchezo huo ambao unatambulika katika Kalenda ya FIFA huku ligi mbalimbali zikisimama kupisha mechi hizi zilizopo katika kalenda ya FIFA.

No comments