UNAMKUMBUKA GIOVANNI VAN BRONCKHORST?
Na Franck
Lelo
-Aliichezea Arsenal kama beki wa
kushoto miaka yake ya mwanzoni mwa soka.
-Aliamia barcelona na kua mmoja
kati ya waliounda kizazi kilichotawala soka duniani mwaka 2004 akiwa na
Ronaldinho.
-Alishinda ubingwa wa ulaya na
barcelona mwaka 2006 wakiifunga Arsenal mabao 2-1 fainali.
-Alivoondoka Barcelona alirudi
Feyenoord alikoanza mpira, na akastaafu hapo.
-Alipostaafu alipewa kazi kama
kocha msaidizi Feyenoord.
-Kocha mkuu wa Feyenoord
alipofukuzwa yeye alipewa kazi kama kocha mkuu 2015 mwezi march.
-Msimu wake wa kwanza
aliwasaidia Feyenoord kushinda taji la KNVB Cup (kama ilivyo FA cup
england)
-Msimu huu yuko kileleni akiongoza
ligi kwa point 8, zikibaki mechi 12 ligi kuisha.
-Akifanikiwa kuchukua ligi kuu ya
Uholanzi atakua ameisaidia Feyenoord kuchukua ubingwa wa ligi ya Uholanzi kwa
mara ya kwanza baada ya miaka


No comments