SIMBA YAMTOA BLAGNON KWA MKOPO
Baada ya majuma kadhaa ya kutoonekana katika kikosi cha Simba hatimaye imefahamika kwamba Mshambuliaji wa Kimataifa raia wa Ivory Coast Fredric
Blagnon ameondoka jana kwenda kwenda Oman kusakata kabumbu.
Imeelezwa kwamba Blagnon ambaye Simba ilikua ikimlipa mshahara wa dola 3000 ametimkia klabu ya Oman FC iliyoko Muscat kwa mkopo wa miezi 6.
Licha ya uhaba wa washambuliaji katika kikosi cha Simba lakini Blagnon alishindwa kuleta changamoto ya kumvutia kocha wake Omog hata mashabiki wa Simbamuda wote wa miezi mitano akiwa na wekundu hao wa msimbazi ambao wanaongoza ligi kuu kwa sasa hali iliyopelekea kusajiliwa kwa Mzalendo Juma Luzio kwa mkopo.

No comments