EPL JUMAPILI : CHELSEA NA ARSENAL NI USHINDI TU, LEICESTER CITY HALI MBAYA
Michezo mitatu ilipigwa jana Jumapili katika ligi kuu ya England baada ya kuahuhudia michezo mingine 7 ikichezwa Jumamosi.
Vinara wa ligi hiyo Chelsea wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wliweza kuibuka na ushindi wa bao 2-0 wakiwafunga Hull City.
Diego Costa alitangulia kuipa Chelsea goli la kwanza dakika chache kabla ya mapumziko huki Gary Cahill akifunga bao la pili kwa Vinara hao ambao sasa wanafikisha pointi 55 katika nafasi ya kwanza.
Katika mchezo wa awali kabisa mabingwa watetezi Leicester City walikubali kichapo cha bao 3-0 toka kwa Southampton magoli ya James Ward-Prowse,Jay Rodriguez na Dusan Tadic.
Arsenal wao wakiwa nyumbani walikumbana na upinzani mkubwa toka kwa Hull City na wakafanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 2-1 magoli ya Shrodani Mustafi na Alexis Sanchez.
Arsenal inapanda mpaka nafasi ya pili sasa katika msimamo ikifikisha pointi 47 baada ya ushindi huo.

No comments